😀HAKIKA YA MKE NI NYUMBA NA NYUMBA NI MKE.... 👌🏻😀
🔴MKE MWEMA👇
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Mwanamke tulia nyumbani kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Oga,jisafishe vizuri pulizia/paka manukato na ujipambe kwajili ya Mume wako..
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Jipambe upendeze sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza..🙄
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Nguo zakuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaupunguza.😀😀😀😀😀😀😀😀😀
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Kidani shingoni herini skioni bangili mkononi pete ya NDOA Kidoleni na shanga kiunoni.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Kitandani pavutie chumbani panukie 👍
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Kabla hajarudi anza kumchokoza MUMEO kwa message za mapenzi ili asichelewe.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu na jicho la mahaba.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Muulize hali, mpe pole kwa uchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Mahanjumati muandalie chakula umlishe huku kijidekesha kimahaba.😀😀😀😀
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Mapenzi kuashiria uko tayari kwa ajili ya kustarehe.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Tendo la ndoa ni starehe kwa Mume na Mke hivyo kueni wabunifu mupate kufurahia TENDO LA NDOA.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ ITUNZE ndoa yako, mume ni zawadi, kutoka kwa MUNGU wetu
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️👌JIPAMBE KWA AJILI YA MUMEO SIO WAJIPAMBA UKITOKA KWENDA KWENYE MIALIKO YA HARUSI NA SHEREHE ZINGINE, APANA MUSIWE HIVYO, WANAWAKE WENZANGU TUZINGATIE JAMBO ILI WENGI TWALIFANYA```*
🙄 LAKINI BADILIKA SASA‼️🙏😀👇
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Ukipeleka Maji bafuni usiondoke msugue kwa mahaba uwenda kuchoka maji ayafiki mgongoni wewe ni kazi yako kuakikisha maji yamemfikia mwili mzima.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️ Kudeka kwa MUMEO muhimu usipo deka kwa MUMEO ukadeke kwa nani⁉️
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤️Tusichoke kuzidisha mahaba kwa Waume zetu ili hata wakiwa kazini wawe wanakumbuka nyumbani.
#MBARIKIWEnaWATAKIAmaishsM
#NDOAkatikaJINAlaYESU
#ASANTEsanaKWAkuSHARE🙏🙏🙏
Post a Comment