Siku hizi mtu akitaka kukuacha hasemi tuachane/atakuletea vituko vya haja/no call, no text,hata kuwa na muda na ww/kila muda utasikia niko tyt kishenzi yaani/ukipiga simu utaambiwa subiri ntakuchek ndio mazima hiyo/text zilikuwa tamu tamu.zitaanza za kigumu..kama ulizoea kutumiwa vile vitext vya morning baby!!sijui honey miss you...zitaanza morning kaneno baby kataondoka!!ukitumiwa katext ka morning akhsubh ndio mazima mpaka jioni utakumbana na katext upo/ mara mi nalala usiku mwema/ukiona hivyo chapa mwendo ndugu yangu /wala usihangaike kutafuta ushauri kwa kibonde
Counsellor
Post a Comment