Sababu za wanawake wengi kuanzisha mahusiano nje ya NDOA zao


Ifahamike kuwa sio kila mwanamke anae chepuka basi ukaona ni MALAYA au mpenda PESA. Kuna wengine kaolewa na mwanaume mwenye pesa zake au yeye mwenyewe ana pesa na kaz nzuri tu.
Wengi wao huchepuka kwa sababu
USALIT na UKANDAMIZWAJI
Wanawake wengi wao walikuwa ni waminifu na watiifu kwa waume zao. Lakin ilipo tokea mume kuanza kusalit na kuacha muheshim mkewe basi nae mke aliona bora atafute kidumu nje. Unapo mpiga na kumtukana mkeo hata kama kosa ni lako bas unamfanya azid kuongeza mapenz kule anako farijiwa
UBIZE wa MUME
Wanaume weng hudai hutumia mda wao mwingi kutafuta pesa ,hakalik nyumban hata wikeend.akirud ni kulala tu. Inapita wiki au mwez mke hajapewa haki yake na kila siku usku wapo kitanda kimoja,hapo mke lazima atafute sehem ya kumaliza haja zake
SAFAR za MDA MREFU
Kuna baadh ya wanaume wanafanya kaz mbali nje ya nchi au mkoa,au husafir kwa mda mrefu. Inatokea mwanaume mwez au miez 6 hajarud nyumban, ni wanawake wachache watavumilia hii hali
KUTORIDHISHWA na waume zao
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake kulalamika kuwa waume zao hawa wafikishi kilelen. Yaan jamaa akifunga goli ndan ya dakika 5 basi ana lala harudii tena.. Hali hii huwakera wanawake weng na kufikiria kutafuta mtu wa kumaliza haja zao.
MARAFIK WABAYA
Kuna baadh ya marafik zao zao kuwauza wenzao na kuwatafutia mabwana. Hii IPO sana sehem za kufanya kaz yaani iwe ktk taasis kama shule,chuo,hospital au kampuni... Hivyo mke hujikuta akifanya jambo kwa kuwasikiliza marafik zake
KUTO MPENDA MUMEWE
Leo hii imekuwa kawaida mwanamke kuolewa na mtu asiye mpenda. Yaan anaolewa kwa sababu huyo mwanaume ana pesa au maisha magum hvyo anataka mwanaume wa kumsitiri. Siku huyu mwanamke akimpata mtu aliye ridhika nae lazima achepuke
MZAZI MWENZA
Imekuwa ni ngumu sana kwa baadh ya wanawake kukata mawasiliano na wanaume walio wazalisha na kuwaacha. Matokeo yake hata akiolewa bado hujikuta anakutana na Mzaz mwenzake na kumvulia nguo wakat huo kwa mumewe anapata kila kitu kzuri..
Kumbuka
Kuna baadhi ya wanawake hata umridhishe kwa kila kitu,yaan uwe handsome,una pesa,fundi wa mambo ya wakubwa bado tu atachepuka maana ni tabia yake
Nawasilisha.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post