NIMPATE WAPI MPENZI KAMA HUYU? - EDUSPORTSTZ

Latest

NIMPATE WAPI MPENZI KAMA HUYU?


Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda kwa dhati basi hata dunia iwe ya taabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati.
Tabia ya kumchukulia poa mwenzi wako, kununanuna, kuzirazira, kuwa na moods za hovyo zisizo na sababu ya msingi, sio njema kabisa.
Tabia za namna hii hudhihirisha wazi kwamba haujapevuka na bado una utoto mwingi ndani yako, kama unajisikia vibaya kihisia, kama unamaumivu moyoni, kama umekerwa na kitu, kama uko bize au kama umeshamchoka mwenzako kuwa muwazi.
Zungumza kama mtu mzima, toa hoja yako ueleweke na siyo kuzugazuga na viishara vya kijinga ukifikiri vitafikisha ujumbe, hii game inahitaji waliopevuka, kama bado mtoto huku hakukuhusu, badilika.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz