MWANAUME HATAWEZA KUMPENDA MWANAMKE IKIWA ATAMTAZAMA KWA MATAMANIO YA MWILI💯


Kwanza naomba nieleweke UPENDO ðŸ’˜ UNA TAMAA japo kwa 65% tatizo la TAMAA ya kiume ni wazo la STAREHE hapo ndipo tamaa ya Mwanaume hukosa mashiko.
Kwanini Mwanamke analo PENDO ðŸ’˜ LA DHATI?
 MWANAMKE HUPENDA KWA TASWIRA YA KESHO YAKE WALA SIO KWA LEO ALIYOPO.
Na hapo ndipo utanielewa kwamba TAMAA YA MWANAMKE NI KUMMILIKI MWANAUME ðŸ’¯
Ninapozungumzia TAMAA YA UPENDO ðŸ’ž namaanisha kwamba Mtu aijue THAMANI YA MWENZA WAKE na kumfanya wa maana kila siku na hapo ndipo atakosa USHAWISHI WA MATAMANIO MENGINE kama ilivyo kwa MWANAMKE Kwani wao ni nature yao, Ukiona Mwanamke ni mwingi wa HABARI ujue kuna anguko la Mwanaume limemfikisha hapo ðŸ˜‚😂
Ni kweli kabisa WANAWAKE NDO WENYE SHAUKU YA MAPENZI KULIKO WANAUME ila wao walipewa kitu cha THAMANI NDANI YAO:-
 Mwanamke mpaka ahitaji TENDO LA NDOA ni pale moyo wake unapokuwa umefunguka juu ya UPENDO kwa Mwanaume.
Mwanamke kama hajakupenda kwa MOYO ðŸ’– anaweza kuwa muongo kuliko Mwanaume, Lakini Mwanamke AKIKUPENDA lazima awe MJINGA KWAKO ðŸ˜‚😂
Ukiona Mwanamke anakuwa mjanja mjanja kwako ujue HANA UPENDO ðŸ’˜ WA DHATI ðŸ’• KWAKO ila anajaribu kutafuta weekness yako ili AKUVAMIEEE😂😂
Mara nyingi udhaifu wa Mwanaume ni kutaka ILE INAMEZAGA MWENZIE ðŸ˜Ž ndo maana hata SAMSON alianguka kwa DELILAH ðŸ¤´
Mwanaume akimpenda Mwanamke hatawazia NGONO bali atamuangalia Mwanamke kama DIRA YA MAISHA YAKE na hapo utamuona Mwanamke AKIFURAHIA maisha ya NDOA yake, Mwanaume nature yake huanza kumeza mate kwa ku-imagine UBORA ULIOMO NDANI YA NGUO ðŸ‘™ MWANAMKE AMEVAA😂😂😂
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post