MWANAMKE USIWEKE KIPORO CHA MWANAUME KWA MADHAIFU YA ULIYE NAE 🤔


Kumezuka tabia ya Wanawake kukataa ku-handle Matatizo ya MAHUSIANO/NDOA zao hata kuwafanya waishi na VIPORO VYA WANAUME ambao watakuwepo STANDBY kama generator ðŸš‚ kwamba UMEME ukizima tu generator linawashwaaa😂😂
Mwanamke fahamu jambo hili:-
 MWANAUME AKIJUA UNAMPA NAFASI KWA SABABU YA MWANAUME MWINGINE AMESHINDWA KUKUPENDA NIAMINI ATAIGIZA UPENDO ðŸ’˜ ILI AONEKANE WA MAANA KWAKO ZAIDI YA ULIYE NAE KWANI AMESOMA UDHAIFU WAKO.
Mwanamke ili upate Mwanaume ambaye atakuwa suruhu ya hitaji lake ni mpaka ajue kwamba MAUMIVU ALIYOPITIA hayaambatani nae katika kulitafuta AMANI YA MOYO ðŸ’– WAKE💪 hivyo anahitajika kuwa na Mwanaume ambaye hakuwahi kuwa KIPORO kwamba walifahamiana kitambo ila hakumpa nafasi kwa sababu tayari alikuwa na mwingine.
Mwanaume ili ampate Mwanamke ni pamoja na kujua UDHAIFU WAKE ðŸ˜‚ hivyooo Mwanamke akiwa na MAWASILIANO NA MWANAUME huku tayari ana MAHUSIANO/NDOA hataweza kukwepa VISHAWISHI VYA MWANAUME HUYO Kwani kitendo cha kuruhusu mawasiliano na tayari upo kwenye MAHUSIANO AMA NDOA maana yake huko ulipo kuna shida🤔
Kosa kubwa afanyalo Mwanamke ni kuonyesha UHUSIANO ama NDOA uliyopo haijawa sababu ya FURAHA NA AMANI YAKO ðŸ’¯
Na hapo ndipo Mwanaume atapata nafasi ya kujua UNATAKA NINI iwe rahisi kwake KUKUPATIA hata kama ANA-PRETEND.
Tafuta kuijua AMANI YAKO kwa Mwanaume ambaye hakujui itakuwa rahisi sana kwako KUBAINI UONGO NA UKWELI wake na hapo itakuwa rahisi kwako KUAMUA KUENDELEA AMA KUACHANA NA UHUSIANO FAKE ðŸš«
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria ðŸ”¨


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post