• MWANAUME MWENYE PESA ZAKE huyu ni Mwanaume ambaye atakutimizia mahitaji yako pamoja na hitaji la MWILI 👙 lakini pia atakuheshimu kwani tayari amekuchagua wewe, ila uaminifu utakuwa BAHATI NASIBU 😂
• MWANAUME ASOKUWA NA PESA yeye anaweza kuwa mwaminifu japo usishau nature ya WANAUME ila mahitaji yako jibidiishe, kuhusu heshima sahau maana wanaume hawa ni wataalamu wa KUJIHISI HAWAHESHIMIWI hivyo ni rahisi sana KUJIMWAMBAFAI💪🏼
Watoto wa mjini wanasema;
"MJINI MSINGI KIUNO"
Hivyo Mapenzi ya MWANAUME TEGEMEZI nayo hayategemei AMANI WALA FURAHA YAKO ila yanategemea HESHIMA UMPAYO KAMA MUME kinyume chake hawa wanaume hawajui kupenda ila DHIKI ZINAWAPA USTAARABU😂😂
Raha ya penzi NA PESA ZIWE NYINGI ili ROHO ITAKATEEEE💯

Post a Comment