Wanaume kama wangelipewa MOYO 💖 kama wa Mwanamke wallah ni wanaume wachache sana wangelibakia salama, lakini vile Mwanaume anakuja kwenye maisha ya Mwanamke kwa kujinasibu ANAO UPENDO 💘 WA DHATI halafu kwa kipindi kifupi hawezi tena kuonyesha UPENDO 💘 WA DHATI 💕 na kuacha MAUMIVU MAKALI KWA MWANAMKE HUYO 💔
Moyo wa Mwanaume ni mdogo sana wala hauwezi kuhimili changamoto za MAPENZI Kwani Mwanaume anaweza kukabiliana na DHIKI peke yake maana ndilo eneo lake, Mwanamke aliumbiwa MAPENZI ndo maana anaweza kukabiliana nayo, Jiulize maswali mawili Kisha uje na majibu sahihi:-
▪ KWA NINI MWANAUME AKIONA JAPO MSG HAWEZI KUMSAMEHE.
▪ KWA NINI MWANAUME HAWEZI KUVUMILIA MWANAMKE WAKE AKIONEKANA NA MWANAUME MWINGINE.
Kisha MTAZAME MWANAMKE na usitahamilivu wake, Ndo maana MOYO 💖 wa Mwanaume naufananisha na ki bakuri🍜 hakiwezi kuweka mchanganyiko wa mambo 😂
Basi tuwape wanawake zetu heshima na kuwaonyesha UPENDO 💘 WA DHATI 💕 ili wafurahie maisha ya NDOA ZAO.
Kuishi na Mwanamke kwa kumtazama kama MLINZI WA FAMILIA 👪 ni kosa sana, Wanaume walio wengi wanawapenda watoto kuliko MAMA ZAO kiasi kwamba wanawake hao hukosa furaha na kuzama kwenye UPWEKE 😭
Ukimuona Mwanamke ana FURAHA NA AMANI KWENYE NDOA YAKE UJUE AMEPATA MUME BORA 💪
Wengi wao wanawake wanaishi kwenye NDOA kuogopa AIBU YA KUACHIKA huku wakibakia kwenye MATESO YA NAFSI 😭
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨

Post a Comment