-Mke anatunzwa mkeka unakunjwa.
-Mke hukumbukwa wakati wote ila mkeka hukumbukwa wakati wa kukaliwa tu.
-Kuna utaratibu wa kufuata ili kupata mke lakini mkeka ukiwa na hela tu unaununua.
-Mke ni kwa matumizi ya mtu mmoja ila mkeka yeyote anaweza utumia hata kuku wanaweza unyea.
Sijui wewe unajiandaa kuwa mke au ushakuwa mkeka.
#FIKICHA AKILI#
Post a Comment