Unapoanza kuona watoto ni wa Muhimu au kazi ni ya Muhimu kuliko ninyi wawili that's when the problem begins..Sit down and talk; face it and build it. Biblia inasema pasipo MAONO watu wanaangamia na ukweli ni kwamba maono ya UBINAFSI kwenye ndoa au mahusiano yoyote yanaweza kuvunja hayo mahusiano..Share Your VISION na yatafutieni namna ya kuyaunganisha pamoja ili wote muwe mnakimbiza kitu kimoja kwa pamoja(msitawanye nguvu zenu mtachoka mapema). Usitake sana SAUTI yako kusikika kuliko ya mwenzako.
Sometimes yapenafasi mawazo ya mwenzako kushinda juu ya mawazo yako. Ni Muhimu sana kuwa na kitu kinachowaleta pamoja all the time(MAONO/VISION) always this will FUEL your relationship. .Ndani ya mawazo yako kila saa Mwambie mwenzi wako(sio lazima kwa sauti ila hata ndani kwa ndani) wewe sio burden kwangu, wewe sio mzigo kabisa, I can cope with all your weaknesses. Hakuna udhaifu ulionao utanisumbua au utanifanya nikuache. Wewe si mzigo kabisa I can fix you, hujanishinda.#kibonde
Post a Comment