Kwenu_Single_Mothers - EDUSPORTSTZ

Latest

Kwenu_Single_Mothers



TImage may contain: 1 person, standing
Single mother ninyi ni wanawake wazuri mna moyo wa kulea, mna moyo wa kupenda na pia kuthamini.
Naamini siku moja
mtakuja kuwa wake wazuri kwa waume
Watakaotambua namna mlivyo na kuwapa heshima na thamani mnayostahili.
Kuzaa kwenu hakuwapunguzii heshima na thamani yenu katika jamii kwani mnajua kupenda, kujali na kuthamini huenda kuliko hata mabinti ambao bado hawajazaa.
Single mother nao ni wanawake wanahaki ya kupendwa, kuheshimiwa kuthaminiwa na kujaliwa kama walivyo wanawake wengine.
Usimcheke, usimdharau wala kumkashifu mwanamke aliezaa mtoto kisha mwanaume kumkataa au kumkimbia kwani nao walikuwa na wanaume wakawarubuni na kuwaongopea kwa ahadi tele mwishowe wakawatelekeza na kuwakimbia ndio maana leo hii tunamuona yeye kuwa hapo.
"Ndani ya mapenzi waliotoka kapa ni wale walioumizwa na waliowahi kuwaona na kuwaita wafalme na malkia"
"Kosa lako la awali litumie kama funzo huko mbele uendako"





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz