KATIKA MAISHA JUA THAMANI YA WALE WALIO KULEA

Habari yako msomaji wangu,,,katika maisha ya mahusiano ni muhimu kujua thamani ya wale waliokulea,,maana mausia yao na maombi yao yamechangia wewe kuwa hapo ulipo,,mshukuru Mungu kwa ajili yao,,waombee na wapende pia,,kwani ndani yake kuna baraka


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post