Jinsi ya kuongeza ukubwa wa uume - EDUSPORTSTZ

Latest

Jinsi ya kuongeza ukubwa wa uume


Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.
Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote.
Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina moja tu kwenye chumba cha mwanaume.
Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa asili.
Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na uimara wa uume wako.
Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako fanya mambo 11 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume wako kwa asili.
Mwanamke yeye huwa na uke wenye urefu wa inch 4 ingawa unaweza kuongezeka ukubwa kutegemea na namna anavyoandaliwa au mwanaume mwenyewe alivyo.
Kwa watu wazima, wastani wa ukubwa wa urefu wa uume uliosimama ni kati ya inch 3.9 mpaka 5.8. Wakati urefu wa uume ukiwa umelala ni wastani wa inch 2.8 mpaka 3.9
Wastani wa unene wa uume ukiwa umelala ni kati ya kipenyo cha inch 3.5 mpaka 3.9 wakati wastani wa unene wa uume ukiwa umesimama ni kati ya inch 2.2 mpaka 4.7.
Inch 1 ni sawa na sentimita 2.5
Wapo pia wanaume wachache sana duniani ambao kwa asili wana urefu wa uume ukiwa umesimama wa inch 7 au 8.
Uume unachukuliwa kuwa ni mdogo ikiwa uko chini ya inch 4 ukiwa umesimama. Usiwaze ukubwa wa uume ukiwa umelala.
Pia hakuna uhusiano wa umri au urefu wa mwili wako na ukubwa wa uume.
Kuna wanaume wa aina mbili, kuna wale ambao uume ukiwa umelala huonekana ni mkubwa lakini uume utakaposimama hauwi mkubwa sana.
Na kuna wanaume ambao uume ukiwa umelala uume wao unaonekana ni mdogo sana na ndiyo hao ukisimama unakuwa mkubwa zaidi hata ya wale ambao uume wao ukiwa umelala unaonekana ni mkubwa.
Hivyo ukiona uume wako umelala na unaonekana ni mdogo sana usiwaze, ni hali ya kawaida, unatakiwa uwaze tu ikiwa ukiwa umesimama unaonekana ni mdogo.
Kwa kawaida wanawake wengi hawana habari na ukubwa wa uume wako wala uume siyo kigezo pekee cha kuwa na mahusiano mazuri au ndoa yenye furaha. Ni wanaume pekee ndiyo huwa bize kuwaza kuhusu hilo.
Tafiti zinasema mara nyingi wanaume wanaowaza kuwa na uume mdogo huwa tayari wana uume mkubwa ila wao hawajuwi sababu ya kuangalia picha za X ambazo kimsingi huwa hazina uhalisia wowote. Kuthibitisha hili vua nguo zako na usogee mbele ya kioo utaona uume wako ni mkubwa zaidi ya unavoonekana kwa macho yako ya kawaida.
Mara zote wewe mwanaume ukiuangalia uume wako unaweza kuhisi ni mdogo tofauti na akikuangalia mtu mwingine.
Ili kupima urefu wa uume utahitaji kutumia rula ya kawaida na upime kuanzia kwenye shina la uume mpaka mwishoni mwa kichwa.
Jinsi ya kuongeza uume
Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako fanya mambo 11 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume wako kwa asili.
1. Acha kuvuta sigara
Moshi na kemikali za kwenye sigara hujirundika kwenye mishipa ya damu (ateri).
Hii ndiyo sababu uvutaji sigara una uhusiano mkubwa na ugonjwa wa moyo.
Usambazwaji mdogo wa damu kwenye ogani hizo mwilini husababisha ufanyaji kazi wa chini ya kiwango wa ogani husika. Kumbuka uume umeundwa kwa mishipa mitupu ya damu, hakuna mfupa kwenye uume.
Kama damu haitembei kwa uhuru wote katika ogani kadhaa mwilini na kwenye mishipa ya damu kwa ujumla uume wako nao unaweza kuathirika ukubwa wake.
2. Fanya mazoezi ya viungo mara nyingi
Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji uume wenye afya au uume mrefu, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.
Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili.
Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama.
Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (round) 5 kila siku.
3. Epuka vyakula vyenye mafuta sana
Kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta sana hupelekea kuongezeka kwa uzito na unene na matokeo yake unaweza kupatwa na magonjwa ya moyo na kupungua kwa ukubwa wa uume.
Kutokutenga muda kwa ajili ya mazoezi huongeza kolesto katika ateri za damu na kupelekea kupungua kwa msukumo wa damu kwenda kwenye uume.
Kwahiyo acha kula kula vyakula feki (junk foods) ili uwe na uume wenye afya ya kutosha.
4. Kula sana matunda na mboga za majani
Kula sana mboga za majani na matunda yenye sifa kubwa ya kuondoa sumu na taka mwilini.
Mazoea haya husaidia mwili kupigana na vijidudu nyemelezi na kuongeza afya katika ateri za damu.
Kwahiyo unaweza kuongeza kimo cha uume wako kwa kuamua kula mboga majani na matunda ili kuondoa sumu na taka nyingine zisizotakiwa mwilini.
5. Ondoa kitambi
Kuwa na kitambi au tumbo kubwa ni sababu inayofanya uume uonekane ni mdogo.
Hata kama una uume mkubwa kwa asili ukianza tu kufuga kitambi uume utaanza kuonekana ni mdogo.
Kuondoa kitambi soma dondoo namba 2 hapo juu au kama umefanya kila jitihada kuondoa kitambi na umeshindwa nitafute WhatsApp +255714800175 ninayo dawa nzuri ya asili ya uhakika kwa ajili hiyo.
6. Punguza mawazo
Hamaki na mawazo mengi (stress) hupunguza ukubwa wa uume kwani mawazo hasi au stress inapozidi na kudumu kwa muda mrefu huondoa damu kutoka kwenye uume na kupelekea ugumu kwa ukuaji wake.
Pia woga au wasiwasi wa kutokumfikisha mwenza wako unapodumu muda mrefu ni sababu ya kuwa na uume mdogo.
7. Oga maji ya moto
Hali ya ubaridi sana hupelekea kupungua kwa ukubwa wa uume.
Kwahiyo kama unaishi sehemu yenye baridi sana jitahidi uwe unaoga maji ya moto kila mara au muda mchache kabla ya kwenda kushiriki tendo la ndoa
Kuoga maji ya moto kunasaidia kuuweka mwili wako kuwa wa moto na hivyo kusaidia kuongeza msukumo wa damu mwilini na kwenye uume kwa ujumla.
8. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi
Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!.
Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya hata hivyo.
Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24.
Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.
Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uume mzuri na wenye afya.
Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako.
Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wa kutosha siyo haraka haraka tu (short time).
9. Tafuta wa saizi yako
Ni ukweli uliowazi kwamba kamwe hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu.
Kuna msemo wa wahenga pia unasema waacheni wafu wawazike wafu wenzao, kadharika hata katika suala hili la tendo la ndoa mwanaume ifike wakati uamini kwamba kuna wanawake wengine si saizi yako, wapo wanaume kwa ajili yao.
Hivyo jiangalie mwenyewe na umtafute mwenza ambaye anaendana na wewe.
Wakati mwingine unaweza kupata mwenza ambaye ni saizi yako lakini sababu ya mabadiliko ya kimwili na kihomoni inatokea naye anakuwa anakuzidi, ikikutokea hivi usimwache, njoo uonane na mimi zipo dawa za asili maalumu zinazoweza kurudisha uke katika umbo dogo na unaobana vizuri kama mwanzo.
Au utaona aibu tena!? Kuna namna ya kuongea naye.
10. Acha kupiga punyeto
Kupiga punyeto au kujichua kunahusika na kusinyaa au kupungua kwa ukubwa wa uume wako moja kwa moja.
Kama wewe ni teja wa kupiga punyeto basi sahau kuwa na uume mkubwa, mzuri na wenye afya. Mpaka utakapoamua kuacha tabia hii mbaya ndipo utaanza kuona uume wako unakuwa mkubwa na wenye nguvu.
Kupiga punyeto ndiyo sababu namba moja ya kupungua kwa ukubwa wa uume wako. Yaani ni vigumu au ni sawa na haiwezekani uwe ni mtu uliye bize kupiga punyeto kila mara halafu uwe na uume mkubwa.
Madhara ya punyeto ni mengi sana kwa afya yako ya uume, afya yako ya ubongo na afya yako ya mwili kwa ujumla.
Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz