ππHili Suala Wengi Wetu Huwa Tunakosea.....Kwanza Mke Lazima Utambue Kuwa Wewe Ni Pambo Kwa Mume Wako Usiwe Na Tabia Ya Kununanuna Ovyo Ovyo Wala Usiwe Unaficha Mapenzi Yako Kwa Mumeo...Una Takiwa Umuoneshe Uhalisia Wa Penzi Lako Ukiwa Hivyo Hata Ukitaka Ruhusa Kumuaga Kwa Kufanya Haya Yafwatayo Haitakupa Shida.....
1》Pika Chakula Akipendacho
2》Jipendezeshe Mtoto Wa Kike Kwa Kile Ambacho Wajua Kivyovyote Kitamvutia Mumeo
3》Andaa Mazigira Ya Chumbani Kwako Vizuri
4》Mumeo Akirudi Kutoka Kwenye Mihangaiko Yake Ya Kuitafuta Rizki Mpokee Kwa Mapokezi Mazuri Kwa Ujumla Malavidavi Yatawale
5》Muacha Achague Chakula Kipi Ataanza Nacho Bi Maana Uwe Mkarim
6》Baada Ya Kukoga Na Kula Muache Ajipumzishe Kidogo Ili Kuondoa Uchovu
7》Baada Ya Kupumzika Mwambie Kuwa Una Mazungumzo Naye
8》Usikae Mbali Naye Chukua Kichwa Chake Kwa Mahaba Kisha Ukilaze Juu Ya Mapaja Yako ukimtumbua vipele au vichunusi kwani mwanamme hufurahi sana ukimbinya biya pana raha zake kwenye hilo Huku Ukimwambia Maneno Yenye Ladha Tamu Huku Wampapasa Kichwa Chake Kwa Utaratibu Kimahaba Alafu Mbusu Katika Paji Lake La Uso.
9》Ukifika Hapa Sasa Waeza Kumuomba Ruhsa Mumeo Na Kumueleza Ni Jinsi Gani Unataka Ridhaa Yake Na Umueleze Katika Kutoka Kwako Utapitia Wapi Na Wapi Na Wapi.....
Nina Uhakika Ukitumia Utaratibu Huu Biidhnillah Hutonyimwa Ruhsa Na Pia Utakuwa Umejipatia Thawabu Kwa Kumfurahisha inshallahπ©❤π©π©❤π©ππ
Post a Comment