MUNGU mtakatifu ninakushukuru kwa kunipa ndoa nzuri na yenye kunipa furaha kila siku(tamka hivyo ata kama ndoa yako haina amani).
Najua tumepita katika sehem mbalimbali naomb damu yako Yesu itutakase mm na mwenzangu tumekukosea Eeeh Mungu.
Samehe ndoa yangu samehe watoto wangu, takasa kazi zetu pamojja na nyumba yote..
Mungu baba nakuomba umsaidie Mume, mke wangu umuepusha na laana na mikosi huko aliko, eeh Mungu wewe wamjua mm simjui kuliko wewe nakuomba Bwana Yesu mpe amani na utulivu wa hari ya juu atakapo niona mm aone kitu chema machoni pake, na nikafanyike baraka katika maisha yake.
Eeh Mungu nakuomba utufungulie malango ya Baraka amani furaha pamoja na biashara pia.
Bariki uzao wangu, kizazi changu kikawe baraka katika taifa na kikakutumikie wewe tuu.
Naomba ulinzi wako uwe pamoja nasi katika jina la YESU ALIYE HAI.
Post a Comment