Ni swali ambalo wanume wengi wamekua wanajiuliza.je size ipi ya uume ndo tunasema ni sawa(normal or average), je ni size gani ya uume ndo inakua kibamia❓
Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye harida la Madaktari wa mfumo wa uzazi wa wanaume La Uingereza (BRITISH JOURNAL OF UROLOGY INTERNATIONAL) urefu wa kawaida wa uume uliolalani kuanzia inch 3.61 kuendelea na urefu wa uume uliosimama ni kuanzia inch 5.16. Na unene wa kawaida wa uume uliolala ni kuanzia inch 3.66 wakati unene wa kawaida kwa uume uliosimama ni kuanzia inch 4.59.
Endelea kufatana nami ili kufahamu zaidi kuhusu size ipi ni sawa kwa uume,size ipi nzuri kwa kuridhishana wakati wa tendo la ndoa na kipi unaweza kufanya kama una wasiwasi na maumbile yako kuwa madogo.
TAFITI ZINASEMAJE❓
Utafiti wa JARIDA LA MADAKTARI WA MFUMO WA UZAZI WA WANAUME ulitumia Majaribio takribani 17 na kuhusisha wanaume zaidi ya 15,000. Katika utafiti huu ilionekana kwamba 95% ya wanaume walikua na urefu wa inch6.3 na kwamba kati ya wanume 100 wanaume 5 tu ndo wana size zaidi ya inch 6.3. na asilimia 5% walionekana kuwa na uume wa inch 3.94,ikimaanisha kuwa wanaume 5 kati ya 100 wana uume chini ya inch 3.94.
Post a Comment