HIZI NDIO NJIA SABA ZA KUACHA KUJICHUA (P*NYETO) KABISA... - EDUSPORTSTZ

Latest

HIZI NDIO NJIA SABA ZA KUACHA KUJICHUA (P*NYETO) KABISA...


No photo description available.
Karibuni tena wapendwa wasomaji wa blog hii ya siri za afya bora na kama kawaida leo tena unapata shule nyingine ambayo namatumaini inaendelea kukujenga kiakili na kiafya..
Makala iliyopita niliongelea madhara yanayosababishwa na kupiga nyeto kama hukusoma hii hapa .HAYA NDIO MADHARA KUMI YAKUJICHUA..{} lakini nilipokea simu nyingi ambazo zilitaka pia niongelee suluhisho au jinsi gani mtu anaweza kuacha KUJICHUA kabisa
KUJICHUA kama tulivyoongea ni tatizo la tabia na linaweza kudhibitika kabisa kama matatizo mengine yeyote. FANYA YAFUATAYO....


Acha kuangalia video za ponovideo hizi ndio chanzo kikuu cha KUJICHUA kwa watu wengi hua zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka KUJICHUA hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako.. Weka mipango ya kuzuia KUJICHUA wakati wa kuoga: bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu weng KUJICHUA hivyo ni vizuri kua na mikakati ya kujizuia ukiwa huko kwa kuoga haraka na kuondoka, kuoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa 
KUJICHUA

Epuka kukaa nyumbani peke yako; mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hebu ondoka na ujichanganye na watu wengine au tafuta majirani wa kukaa na kuongelea mambo mengine.


Fikiria kuhusu madhara yake: kila aliyewahi KUJICHUA kuna madhara mabayo ameshayapata hasa madogo madogo kama uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuendelea KUJICHUA
acha kusema eti iKUJICHUA hivi ni mara  ya mwisho: siku zote wapiga nyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema ivoivo, kama unaacha acha mara moja.


Tafuta mpenzi kama huna kabisa: ukiwa na mpenzi madhara ya nyeto kama kupungukiwa nguvu za kiume yatakufanya uache kabisa kwani ukiendelea utaaibika siku moja pale uume utakaposhindwa kusimama kabisa mkiwa faragha chumbani na pia utapata nafasi ya kushiriki tendo la ndoa hivyo kuacha kabisa nyeto. pia unaweza kumshirkisha mwenzi wako tatizo lako ili akusaidie kuacha.
anza mazoezi na jishughulishe na mambo mengine:hii itakufanya ue bize na mambo mengine na utumie mda wako mwingi huko, pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga nyeto wakati wa kwenda kulala.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz