Gharama ya kuanza upya mapenzi ni kubwa hivyo jifunze kuheshimu mahusiano na kumthamini mwenza wako - EDUSPORTSTZ

Latest

Gharama ya kuanza upya mapenzi ni kubwa hivyo jifunze kuheshimu mahusiano na kumthamini mwenza wako

Gharama ya kuanza upya mapenzi ni kubwa hivyo jifunze kuheshimu mahusiano na kumthamini mwenza wako. Kumbuka muda ni mali na ukishaondoka basi haurudi tena.
Kama leo hii umempata anayesababisha tabasamu lako basi hakikisha unajitoa kwake kwa kila hali ili asije kukuona wewe mzigo akakukimbia.
Ishini kwenye misingi sahihi ya mapenzi na hakikisheni kila siku mnapiga hatua ambazo zitafanya penzi lenu liwe na mwelekeo.
Image may contain: 3 people, people sitting




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz