Naja hapa nami , ili kuleta tatizo langu linalonikabili kunako uwanja wa sita kwa sita, kwenye NDOA yetu .
Tatizo lenyewe ni uke wangu kutoa maji mengi sana, yaani naweza hata jaza kisado baada ya kumaliza kufanya mapenzi.
Je,Huu ni ugonjwa au ni hali ya kawaida kwa maumbile yangu, maana nina mwili wa wastani tu.Naomba mnisaidie nifanyaje maana nimebaki gwaa!!! kama mchuzi wa dagaa.
Acha kula Nyanya Chungu maana nazo zinachangia. Yanapotoka hayo maji unajisikiaje ni suala la MSINGI Sana . Endapo , wala auhisi chochote my dear ni dhairi wewe hujui mampenzi , haya maji hayana harufu wala hayana uchachu , maana haya yamesibitishwa kwenye mahabara , japo wapo ambao huja na harufu isiyo ya kawaida , na wapo hayana harufu Ila yana uchachu fulani . Yenye harufu ni dhairi muhusika ana maambukizo ukeni , hivyo hivyo yasio na harufu lakini yana uchachu yana dalili ya kuonyesha maambukizo yako atua ya awali . Kujua uchachu vipo vifaa maalum kwenye mahabara , ambavyo utoa matokeo hayo dhairi .Wengi wanashauriwa kutafuta Mwanaume anayeweza mchezo hayo maji yatakauka tu. Ila Mimi napinga ushauri huo maana huko kinyume na Neno la MUNGU , Maana Katika kutafuta ili upate dushelele yaukweli huko ni kufanya uasherati . Afu hao wanao shauri kutafuta wa kukausha hawajui mapenzi Kwa sababu pakikauka ni dhairi Mke hatafurahia na mwisho wa siku atapata maumivu na michubuko mingi. Kwa mfano hao wenye ushauri wa kuyakausha 👉Kama ni Mkeo ukiwa unamkausha utamu utakuta ukihitaji tu anatoa sababu nyingi tu, maana maji hanayo Ila kosa hujui jinsi ya kumfanya ipasavyo . Cha MSINGI nikujua jinsi ya kumtosheleza Mkeo sio kukausha maji , vivyo hivyo na Mke , Mumeo yampasa ajue jinsi ya
kukufanya ipasavyo ili uridhike , Ukiwa wakojoleshwa ipasavyo lazima usikie raha wakati haya maji yanatoka .
Au Hahahaaha...❗❗❗ kitu linaitwa 😂 deep orgasm ndio wanakufanyiaga siku ya gurio kule Kagera . Acha kuhangaika , Labda kama umeambiwa kuwa Mumeo hayataki ,Kuna watu wanatamani kupata watu kama wewe...basi tu❗Hayo maji ndo kufika kileleni kwenyewe.
"Mimi wife wangu nikianza kumkuna anakojoa kila baada ya dk 2 anaweza kojoa hata mara tano kwa round moja" Anasema mmoja wa Wanandoa kwenye utatiti uliofanika hivi karibuni .
HUNA haja ya kuwa na wasiwasi wa aina yeyote hiyo ni normal . Kwa Tanzania ni kawaida sana Wanawake wa kanda ya ziwa kama Bukoba. Ni maji ya utamu hayo. Yasikusumbue sana saikolojia yako. Enjoy tendo.😁😁😁😁😁
Ushauri mwingine utakutaabisha bureeeee
🔴NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏
NA MALAZI YAWE SAFI 🙏
Post a Comment