Maana halisi ya NDOA ni wawili waloamua kushiriki miili yao na kuwa MWILI MMOJA japo ndoa nyingi za sasa HESHIMA, UVUMILIVU ni bidhaa adhimu, Mwenza mmoja anapoamua kumnyima Mwenzie TENDO LA NDOA maana yake anamtuma kwenda kutafuta MBADALA WAKE.
Mwanamke ndiye huanza na ADHABU HII KWA MUMEWE japo kuna wakati wapo wanaume wana tabia hii ila kwa Mwanamke kunyimwa UNYUMBA 👙 akiwa na maumivu MOYONI wala haiwezi kuathili UPENDO wake kwa Mumewe 💯
Usitahamilivu wa Mwanamke unaweza kumfanya asione taabu kukosa HAKI YAKE YA NDOA ikiwa analo tumaini kwamba anapendwa, ila Mwanaume akinyimwa HAKI YAKE YA NDOA hukimbilia nje ya NDOA yake ili kukidhi haja zake, Ukweli ni kwamba;
• WANA NDOA WAKIFIKA MAHALA WAKAPATA UJASILI WA KUNYIMANA UNYUMBA WANAKUWA KWENYE HATARI YA KUIBOMOA NDOA YAO.
Mwana ndoa akiisha pata tofauti ya PENZI LA NDANI YA NDOA NA PENZI NJE YA NDOA kamwe hataweza kutuliza hamu zake laa kama NDANI YA NDOA NI ZAIDI YA NJE YA NDOA kitu ambacho ni nadra kutokana na migogoro iliyosababisha mtu kutoka ndani ya ndoa yake💯
Ugomvi wowote ama migogoro ibakie kuwa sehemu ya MAZUNGUMZO ila Mwenza wako akihitaji MZIGO 👙 mpatie tena mpe kwa mbwembwe zote wallah huo ni USHINDI WAKO💪🏼 kinyume chake UMEANGAMIZA NDOA YAKO.
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨

Post a Comment