KIKOSI CHA BRAZIL CHA WACHEZAJI 23 KITAKACHOCHEZA KOMBE LA DUNIA


Kuelekea kombe la dunia litakalo chezwa june 14 mwaka huu, kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Leonardo Bacchi maarufu kama Tite ametangaza majina 23 ya mwisho kwaajili ya fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.
Kuelekea kombe la dunia litakalo chezwa june 14 mwaka huu, kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Leonardo Bacchi maarufu kama Tite ametangaza majina 23 ya mwisho kwaajili ya fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.

Timu ya Brazil ipo kundi E pamoja na timu za  Costa Rica, Serbia na Switzerland, brazil itacheza mchezo wake wa kwanzaJumapili ya Juni 17. 

Nyota wa PSG Neymar ambaye ametoka majeruhi hivi karibuni ameitwa huku mlinzi Dan Alves akiachwa baada ya kuumia wiki iliyopita.

Mabingwa wa England Man City ndio timu ambayo imetoa wachezaji wengi kwenye kikosi hicho ikianza na mlinda mlango Ederson, mlinzi Danilo, kiungo Fernandinho na mshambuliaji Gabriel Jesus.

Kikosi cha kamili hiki hapa;

Makipa:

 Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians).
Walinzi: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva, Marquinhos (both PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio).

Viungo: 

Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Barcelona), Willian (Chelsea), Douglas Costa (Juventus).

Washambuliaji:

 Neymar (PSG), Taison (Shakhtar Donetsk), Gabriel Jesus (Manchester City), Roberto Firmino (Liverpool).


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Enter your email address:


Delivered by EDUSPORTSTZ
Subscribe to EDUSPORTSTZ

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post