Kutokana na kuuawa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu NIT na jeshi la polisi wanasiasa na wananchi wamerahani vikali tukio hilo wakidai si jambo la kiubinadamu.
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake ameweza kuandika haya
Haya mlijua yatatokea. Wananchi wamechoshwa na sisi Viongozi kulialia. Tuwaongoze kwenye Njia Sasa. Wananchi wanasubiri maelekezo. Kaeni caucus ya wabunge mlazimishe Kamati Kuu, maelekezo yatoke. Sisi @ACTwazalendo tutawaunga mkono. Sisi tuligomea Uchaguzi, wajibu wenu MWONGOZO
Haya mlijua yatatokea. Wananchi wamechoshwa na sisi Viongozi kulialia. Tuwaongoze kwenye Njia Sasa. Wananchi wanasubiri maelekezo. Kaeni caucus ya wabunge mlazimishe Kamati Kuu, maelekezo yatoke. Sisi @ACTwazalendo tutawaunga mkono. Sisi tuligomea Uchaguzi, wajibu wenu MWONGOZO https://t.co/GjjHo0ocYA— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) February 17, 2018
ENDELEA KUFATILIA EDUSPORTSTZ KUPITIA MITANDAO YOTE YA KIJAMII KUPATA KINACHOENDELEA JUU YA SWALA HILI
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
Elimu Yetu
Post a Comment