TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI BAADA YA JPM KUREJEA NCHINI



Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amerejea nchini kutoka nchini Uganda alikokuwa kwenye kutano wa wkuu wa nchi za Afrika Mashariki.

Mkutano huo ambao ulihusisha viongozi wa mchi zote za Jumuiya ya Afrika Mshariki, ulikuwa ni wa siku 2, ambapo pia alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Aliporejea akiwa kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza amepokelewa na mkuu wa mkoa huo John Mongela, na kujadili schangamoto mbali mbali zinazoukabili uwanja huo ikiwemo ujenzi wa jengo la abiria, ambalo ameahidi kulifanyia kazi.

Soma hapa taarifa yote









EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.

Enter your email address:





Delivered by EDUSPORTSTZ


Subscribe to EDUSPORTSTZ

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post