Soma alichoandika mbunge wa Kawe Halima Mdee
Kama kuna watu ambao ni adui namba moja wa uchaguzi huru na wa HAKI na wanaotakiwa kufukuzwa mara moja kwa kunajisi OFISI ya UMMA ni NEC. Hoja hujibiwa kwa HOJA sio vitisho . NEC ya KAILIMA haina tofauti na Kajitawi ka CCM. NEC ndio mtaingiza hii nchi kwenye MACHAFUKO. pic.twitter.com/wwvhp4Z5Dt— Halima James Mdee (@halimamdee) February 24, 2018
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au
kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Subscribe to EDUSPORTSTZ
Post a Comment