
UNAKUMBUSHWA KUTUFOLLOW ILI UFAIDIKE NA OFA ZA EDUSPORTSTZ
Mbao FC imeondoshwa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kupokea kipigo cha penati 6-5 kutoka kwa Njombe Mji baada ya sare ya bao 1-1 katika dakika 90. Pambano lilikuwa LIVE #AzamSportsHD
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
Post a Comment