Jana ilikuwa shangwe mjini Kigali, baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwalaki kishujaa washindi wa mashindano ya dunia ya baiskeli yaliyomalizika jumapili iliyopita mjini Libreville nchini Gabon.
Timu hiyo ya Rwanda ikiongozwa na bingwa Joseph Areruya iliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali majira ya jioni, na kisha kuelekea uwanja wa Amahoro kwa ajili ya hafla maalum ya kuwapongeza.
Wakati wa safari ya kutoka uwanja wa ndege wa Kigali kwenda Uwanjani maelfu ya mashabiki walijipanga barabarani kwa ajili ya kuwashangilia.
Waendesha baiskeli walioipeperusha vyema bendera ya Rwanda ni Valens Ndayisenga, Jean Damascene, Didier Munyaneza, Bonaventure Uwizeyimana na Paul Ukiniwabo.
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.Timu hiyo ya Rwanda ikiongozwa na bingwa Joseph Areruya iliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali majira ya jioni, na kisha kuelekea uwanja wa Amahoro kwa ajili ya hafla maalum ya kuwapongeza.
Wakati wa safari ya kutoka uwanja wa ndege wa Kigali kwenda Uwanjani maelfu ya mashabiki walijipanga barabarani kwa ajili ya kuwashangilia.
Waendesha baiskeli walioipeperusha vyema bendera ya Rwanda ni Valens Ndayisenga, Jean Damascene, Didier Munyaneza, Bonaventure Uwizeyimana na Paul Ukiniwabo.
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI
Post a Comment