TFF YATOA ONYO KALI KWA WAPANGAJI WA MATKEO LIGI DARAJA LA KWANZA



Moja kati ya kosa kubwa katika mchezo wa soka ambalo linaweza kugharimu timu, kiongozi, mchezaji au refa ni ishu nzima ya upangaji wa matokeo ya mechi, adhabu za upangaji wa matokeo mara nyingi hutolewa kubwa ili kukomesha tabia hiyo na haishangazi ukisikia mtu kafungiwa maisha.

Jumamosi ya January 13 Tanzania zitachezwa baadhi ya game za Ligi daraja la kwanza ambazo zitaamua ni timu ipi na ipi zitapanda kucheza Ligi Kuu msimu wa 2018/2019, hivyo baada ya Ligi daraja la kwanza kuwahi kutuhumiwa kuwa tabia ya upangaji wa matokeo TFF limetoa onyo.



Kama utakuwa unakumbuka vizuri refa Joseph Lamptey raia wa Ghana ni mmoja kati ya marefa wahanga wa vitendo vya upangaji wa matokeo, March 20 2017 Lamptey alitangazwa kufungiwa maisha na FIFA kujihusisha na soka baada ya kubainika kujihusisha na upangaji wa matokeo wa game ya Afrika Kusini dhidi ya Senegal ya kuwania kufuzu World Cup 2018.Edusportstz inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati.
BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post