POINT MOJA YA COSTAL UNION YALETA KIMBEMBE KWA MWAMUZI

Image result for COASTAL UNION
NDG MSOMAJI WA EDUSPORTSTZ UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.


Coastal Union imeambulia pointi moja ugenini kwenye mchezo wa wa Kundi B ligi daraja la kwanza dhidi ya Poilisi Tanzania mechi hiyo ilichezwa kwenye uwanja wa chuo cha Ushirika mjini Moshi na kumalizika kwa matokeo ya suluhu.

Kama ilivyo kwenye mechi nyingi za ligi daraja la kwanza malalamiko huwa hayakosekani, kocha wa Polisi Tanzania John Tamba amelalamikia waamuzi waliochezesha mchezo huo.

“Tumepamabana kadiri tulivyoweza, vijana wamejitolea tumeweza kupata pointi moja. Mchezo haukuwa fair tumenyimwa penati dhahiri kitu ambacho sio sawa kaikumbatia penati bila sababu ya msingi ndio maana mashabiki wanachukua hatua nyingine za ajabu, mwenye haki mpe haki yake, mwenye uwezo wa kushinda ashinde”-John Tamba.

Kwa upande wake kocha wa Coastal Union Juma Mgunda yeye anasema pointi moja kwao inawasaidia kwenda mbele kutimiza ndoto za kurejea ligi kuu Tanzania bara.

“Mechi hizi ni ngumu hususan hizi za mwisho , kila timu inajitahidi kupata ilichonacho kwa hiyo kwa alama moja niliyopata siyo mbaya kwenye msimamo wa ligi najua mbele itakuwa na msaada kiasi gani. Tumecheza mchezo mgumu ambao ulikuwa na ushindani lakini mwisho wa yote tukapata pointi moja”-Juma Mgunda .


EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post