Pampu za kukama maziwa na kuyahifadhi mwanamke akiwa safarini
Kampuni mbili zimetengeneza pampu ambazo zitawasaidia wanawake wanaonyonyesha kukama maziwa na kuyahifadhi wakati wakiwa safarini.
Wanawake wanaotumia pampu kawaida hukama maziwa mara kwa mara kwa siku na kati ya muda wa dakika 20.
Kwa kawaida huunganishwa kwa stima na hutoa sauti.
Kampuni za Willow na Freemie Libert zimetangenezwa kwa njia ambazo zitakuwa rahisi kuvaliwa.Pampu za kukama maziwa na kuyahifadhi mwanamke akiwa safarini
Kinyume na za zamani, zasasa hutumia betri na hazina sauti.
Zote ziko kwa maonyesho ya CES ya biashara huko Las Vegas.
Willow ilishinda tuzo kutokana na kifaa hicho kwenye maonyesho ya CES mwaka 2017, kwa sababu pampu hiyo imekuwepo kwa majaribio lakini sasa inaingia rasmi sokoni kwa dola 479.
Hata hivyo imekosolewa mitandaoni kutoka kwa wale wameijaribu wengine wakesema kuwa mifuko hiyo ya maziwa ni midogo mno.Pampu za kukama maziwa na kuyahifadhi mwanamke akiwa safarini
EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI
Post a Comment