KAULI YA KAIMU KOCHA MKUU SIMBA KWA UJIO WA KOCHA MPYA


 Masoud Djuma

UNAKUMBUSHWA KUSUBSCRIBE NA KUFOLLOW WEB YETU PAMOJA NA MITANDAO YETU YA KIJAMII CHINI YA POSITI HII ILI KUTUMIWA UPDATES ZOTE ZA AJIRA, MICHEZO, HABARI, SCHOLARSHIPS PAMOJA NA MASTORI YA MASTAA NA VIONGOZI MBALIMBALI. EDUSPOTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI.

                               Elimu Yetu
Kaimu kocha mkuu wa timu ya Simba Masoud Djuma amesema hana tatizo na klabu hiyo kuleta kocha mpya na kuahidi kumpa ushirikiano wa kutosha kwa manufaa ya klabu.

Jana klabu ya Simba ilimtangaza Pierre Lenchantre kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho akiziba nafasi iliyoachwa na Joseph Omog aliyetimuliwa kazi mwezi uliopita.

Lenchantre alikuwa uwanjani juzi kushuhudia timu yake mpya ikishinda mabao 4-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa ligi uliofanyika uwanja wa Taifa.

Masoud amesema atampa ushirikiano mkubwa Mfaransa huyo ili kuhakikisha wanafanya kazi nzuri itakayoifanya Simba kuendelea kufanya vizuri.

“Mi namkaribisha sana kocha Lenchantre katika klabu ya Simba nadhani tutafanya kazi nzuri na nitampa ushirikiano mkubwa kwa manufaa ya timu,” alisema kocha Masoud.

Raia huyo wa Burundi alisema pia atamshauri kocha huyo kuendelea kutumia mfumo mpya wa kiuchezaji aliyouanzisha ambao tayari wachezaji wameanza kuuelewa.

EDUSPORTSTZ inakutakia maandalizi mema ya siku. inakuomba kulike facebook page yetu au kufollow kupitia blog eneo la follow by email ili kutumiwa habari kwa wakati. BOFYA HAPA KUJIUNGA NA INNOVATION FURSA CHALLENGE http://www.edusportstz.com ni fahari ya wasomaji
UNGANA NASI KUPITIA LIKI HIZI ILI KUTUMIWA HABARI POPOTE ULIPO

EDUSPORTSTZ NI FAHARI YA WASOMAJI

WEKA EMAIL YAKO:


Delivered by EDUSPOTSTZ
Follow web yetu na like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika,ni rahisi mno
EDUSPORTSTZ

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post