Yanga imeitwanga Stand United kwa mabao 4-0, Ibrahim Ajibu akiwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili safi.
kabisa.
Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Pius Buswita na Obrey Chirwa.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika
For Booking>>>
EMAIL: edusportstz@gmail.com
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
Post a Comment