Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud ameshinda tuzo ya Puskas ambayo hutolewa kwa mchezaji aliyefunga bao bora la msimu.
Amebeba tuzo hiyo katika tamasha la tuzo za Fifa zinaloendelea.
Giroud raia wa Ufaransa alifunga bao hilo kwenye wa Emirates jijini London wakati Arsenal ikiivaa Crystal Palace.
Mashabiki walilibandika bao hilo kwa nina la “Bao la Nge” kutokana na namna Giroud alivyofunga.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika
For Booking>>>
EMAIL: edusportstz@gmail.com
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
Post a Comment