Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ametangazwa kuwa kocha bora katika tuzo za Fifa mjini London.
Tuzo hizo zinaendelea jijini London na Zidane amefanikiwa kubeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio makubwa msimu uliopita akibeba La Liga na Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.
Sherehe za tuzo hizo zinaendelea jijini London, England
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika
For Booking>>>
EMAIL: edusportstz@gmail.com
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
Post a Comment