Beki wa zamani wa Chelsea na Real Madrid, Ricardo Carvalho amehukumiwa kwenda jela miezi saba.
Carvalho ameonekana alikwepa kodi na kuhukumiwa kwenda jela miezi sana nchini Hispania.
Beki huyo aliyeichezea Chelsea na pia mechi 89 timu yake ya taifa ya Ureno, anaonekana atafanya kila linalowezekana kukata rufaa.
Hispania imekuwa nchi inayoonyesha kutotaka utani katika suala la ulipaji kodi.
like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika
For Booking>>>
EMAIL: edusportstz@gmail.com
CALL>>>
Voda: +255757441463
JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI
Post a Comment