MABAO 3 YA MESSI YAIBEBA ARGENTINA KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2018


Lionel Messi alifunga kofia ya ajabu katika ushindi wa Argentina

Argentina ilikuwa na hatima yao mikononi mwao wenyewe ilihakikisha kuwa watafanikiwa kutoka kwa kundi lao.

Messi,ameonesha ubabe wake uwanjani kwa mbwembe na ujuzi wa hali ya juu na jitihada zisizopimika katika kuhakikisha anaipatia ushindi timu yake ya taifa. atrik ya messi imeifanya Argentina kufuzu moja kwa moja mashindano kuelekea kombe la dunia mwakani. mchezo huo umemalizika kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Ecuador

like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI








0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post