MWANASOKA BORA WA FIFA NI .....





Cristiano Ronaldo amelitetea taji lake la mwanasoka bora wa Fifa safari hii kwa mwaka wa pili mfululizo.



Ronaldo aria wa Ureno na mshambulizi nyota wa Real Madrid amemshinda Lionel Messi aria wa Argentina anayekipiga Barcelona aliyeshika nafasi ya pili.



Nafasi ya tatu imekwenda kwa mwanasoka ghali zaidi duniani, Neymar kutoka Brazil anayekipiga PSG ya Ufaransa.





Ronaldo amefunga mabao 44 kwa klabu na nchi yake. Alifunga mabao mawili katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus na kuiwezesha Real Madrid ya kuweka rekodi ya kubeba Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa misimu miwili mfululizo likiwa ni kombe lao la 12.like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI








0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post