BASHE; ELIMU NI KIPAUMBELE CHANGU NAMBA MOJA


Hussein bashe amekua ni mmoja ya wabunge ambao wako bega kwa bega katika kutetea changamoto za wanachi kupitia  platform mbalimbali hususan mitandaoni na bungeni.
siku ya leo ametoa husia wake kwa wanafunzi na wananchi wenye  ujumbe ufuatao;
Katika vipaumbele vingi nilivyonavyo; Elimu ndio kipaumbele changu namba moja kama urithi utakaokumbukwa na vizazi vingi vijavyo

 like facebook page yetu hapa kwa habari za uhakika Propellerads

For Booking>>>



CALL>>>

Voda: +255757441463

JIUNGE NAMI KUPITIA LINK HIZI








0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post