Simu ya Dj Khalid yamponza Linex





Watumiaji wa Mitandao ya kijamii wamemjia juu Linex baada ya kusema kuwa amepigiwa simu na Mwanamziki mashughuli nchini Marekani Dj Khalid.

watumiji hao waliotoa maoni yao kuwa Linex anatafuta kiki na kwamba ni muongo
awali Linex alipokuwa akihojiwa kwenye kituo cha Radio cha Times FM alisema kuwa amepigiwa simu na Dj Khalid na baada akakata.

"NilimDm tu kwenye Instagram nikawa naisifia album yake kwamba ni Kali, nikaandika mambo mengi na kumtaka kama atataka kolabo na Msanii Wa Afrika nipo tayari" Alisema.





"So niliandika vitu vingi tu, asubuhi naamka nashangaa simu yangu inaita namba za nje afu imeandika California, ile kupokea Whats up, na sauti ni ya Dj Khaleed ile nashangaa akakata simu" Aliongeza.

Katika hatua nyingine Linex amesema amejaribu kumpigia Mara kadhaa lakini simu haipokelewi
tena

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post