Samatta ni shida!!jana kawanyanyasa mabeki wa Ajax, atupia moja


 
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3.


Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax timu hizo zikitoka sare ya 3-3 jana


Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post