RWANDA NA TAIFA STARS ZATUNISHANA MISURI


Dakika 90 za mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Rwanda zimemalizika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwa sare ya goli 1-1 ambapo goli la Rwanda limepachikwa kimiani na Dominique Savio Shuti na Tanzania kusawazisha kwa mkwaju wa penati

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post