Arsenal yaendeleza ushindi, yaua 3 - 1


 

Timu ya Arsenal imeendeleza ushindi katika mechi zake za kirafiki, wakiifunga Western Sydney Wanderers 3 - 1.

Mabao ya Arsenal yaliwekwa kambani na Oliver Giroud (33), Ramsey (37) na Elneny (44) wakati bao la Western Sydney Wanderers limefungwa na Lustica (57).

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post