IFGA (Innovation for the Future Generation Ambassador) Inawaletea watanzania na vijana wote ulimwenguni fursa ya ubunifu iliyo pewa jina la innovation for future generation ambassador fursa yenye lengo la kuwakusanya vijana na watu wenye uwezo mpana wa kuzigeuza changamoto kuwa na chachu ya maendeleo katika jamii.
bofya hapa kujua zaidi kuhusu IFGA
bofya hapa kujua zaidi kuhusu IFGA
FURSA KWA INNOVATORSIFGA (INNOVATION FOR FUTURE GENERATION AMBASSADOR INAPENDA KUWATANGAZIA FURSA VIJANA NA WATU WENYE FIKRA CHANYA KATIKA KUUFANYA ULIMWENGU KUWA SEHEMU SALAMA YA MWANADAMU. FURSA HII INALENGA KUPATA VIJANA KUMI (10) WENYE UWEZA NA MAARIFA KATIKA KUBUNI NJIA, BIDHAA NA HUDUMA MBALIMBALI ZENYE UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO ZILIZOKATIKA JAMII YETU HUSUSANI KATIKA ULIMWENGU HUU WA MAPINDUZI YA SAYANSI NA TEKNOLOGIA.
VIGEZO
· AWE NA UTIHARI WA KUFANYA KAZI KWA AJILI YA JAMII.
· MBUNIFU, MAKINI, JASIRI NA MPAMBANAJI KATIKA KUTATUA NA KUBADILI CHANGAMOTO KUWA FURSA.
· WAZO LIWE MIONGONI MWA MIPANGO ENDELEVU YA ULIMWENGU WA MATAIFA (SUSTANABLE DEVELOPMENTAL GOALS).
· AWE KIJANA AU MWANAFUNZI KATI YA MIAKA 14-18 NA KATI YA MIAKA 18-35.
· MAOMBI YATUMWE KUPITIA EMAIL YA edusportstz@gmail.com.COM.YAWE KATIKA MFUMO WA MICROSOFT WORD AU PDF.
NOTE; mshiriki wa fursa hii atatakiwa kutuma wazo lake lenye kuonesha changamoto iliyokatika jamii yake, idadi ya waathirika wa changamoto hiyo,maelezo mafupi jinsi kutatua changamoto hiyo,matarajio yatokanayo na suruhisho lako pamoja na changamoto utakazo kumbana nazo katika kutatua kero hiyo.
FAIDA KWA WASHINDI
· Kuwa miongoni mwa wanafamilia wa IFGA.
· Kupata connection na taarifa za fursa mara kwa mara ikiwemo ajira, scholarship n.k.
· Kushiriki katika mashindano ya ubunifu ya kimataifa duniani kama 1DEA FOR ACTION n.k.
· Wazo lako kupewa kipaumbele katika mikakati endelevu ya IFGA ( Innovation for Future Generation Ambassador).
MAWASILIANO; +255757-441-463 OR edusportstz@gmail.com or contact BAKALEMWA MILEMBE IFGA COORDINATOR kupitia bakalemwamilembe@gmail.com kwa maelezo zaidi. Usipitweeeeee maisha ni wewe, uvumbuzi ni tiba ya changamoto.
Post a Comment